MDES Agape Series · Kitabu cha Bure

Jitambue

Siku 3 za kujitambua na kukumbuka thamani yako

“Kabla ya kupenda vizuri, unahitaji kukumbuka wewe ni nani.”

Na Mr & Mrs E.H. Magehema · Timu ya MDES Agape

Logo rasmi ya MDES Agape

Jitambue

MDES Agape Series

Jitambue ni kitabu kifupi cha bure cha MDES Agape Series: siku tatu za kutulia, kutafakari na kukumbuka thamani uliyonayo. Ni mahali pazuri pa kuanzia.

Kwa nini wasomaji wanachagua kitabu hiki

Bure kabisa

Weka email yako upate kitabu.

Siku tatu

Masomo mafupi ya kila siku.

Mwanzo mzuri

Hatua ya kwanza katika MDES Agape Series.

Unachopata

  1. 1

    PDF ya bure

    Ni yako kuisoma tena wakati wowote.

  2. 2

    Siku tatu fupi

    Somo moja kwa siku, kwa kasi yako.

  3. 3

    Hatua ya kwanza

    Njia rahisi ya kuanza MDES Agape Series.

Kitabu hiki ni chako kama

  • Unahisi umepoteza mwelekeo wa thamani yako
  • Unataka kusoma kitu kifupi chenye kutia moyo
  • Unataka kuifahamu MDES Agape Series

Maswali ya Mara kwa Mara

Ni bure kweli?

Ndiyo. Weka jina na email yako, kisha upakue PDF.

Kiko katika muundo gani?

Ni kitabu cha kidijitali (PDF).

Mwandishi ni nani?

Mr & Mrs E.H. Magehema, Timu ya MDES Agape.

Siku tatu. Ukumbusho mmoja: una thamani.

Pata nakala yako ya bure sasa.