Nguvu ya Mwanamke — Zaburi 139:14

MDES AGAPE SERIES

Duka la Vitabu

Jitambue. Jithamini. Jenga mahusiano yenye afya.

Mr & Mrs E.H. Magehema · MDES Agape Team

Vitabu vya kidijitali

Kiswahili kwanza, kisha English Books

Bei huonekana kwenye duka la kununua

KISWAHILI · MALIPO SNIPPE

Vitabu vya Kiswahili

Nguvu ya Mwanamke – mwanamke akisoma Biblia wazi Zaburi 139:14

KITABU CHA KULIPIA

Nguvu ya Mwanamke

Kitabu cha Kiswahili cha MDES Agape Series: hekima ya Kibiblia ya kujitambua, kujithamini na kujenga ndoa imara na mahusiano yenye upendo. Sura 10, na sura ya kwanza inasomwa bure hapa kwenye tovuti.

Okoa Ndoa Yangu – jalada rasmi jipya la Bw. & Bi. Magehema

KITABU CHA KULIPIA

Okoa Ndoa Yangu

Mwongozo wa Vitendo wa Kujenga Upya Imani, Kurejesha Upendo na Kuelekea Mbele kwa Pamoja. Sura 13 na safari ya siku 30; malipo hufanyika Snippe.

Logo rasmi ya MDES Agape

Jitambue

MDES Agape Series

ZAWADI YA BURE

Jitambue

Kitabu cha bure cha Kiswahili: siku 3 za kujitambua na kukumbuka thamani yako. Weka email yako kwenye ukurasa wa bure na upakue PDF.

ENGLISH · PAYHIP CHECKOUT

English Books

The Power of a Woman book cover

PAID BOOK

The Power of a Woman

Biblical Wisdom for Building a Strong Marriage, Loving Relationships, and a Life of Value. A digital book (PDF) by Mr & Mrs E.H. Magehema.

Save My Marriage book cover by Mr. & Mrs. Magehema

PAID BOOK

Save My Marriage

A Practical Guide to Rebuilding Trust, Restoring Love and Finding Your Way Forward. 13 chapters and a 30-day marriage renewal journey.

I Lost You, I Lost Myself — official cover by Mr and Mrs Magehema

PAID BOOK

I Lost You, I Lost Myself

A Journey to Heal Your Heart and Rediscover Yourself. 18 chapters in four parts, reflection exercises and a 30-day plan to find yourself again.

Hatua za kupata kitabu

  1. 01Chagua kitabu kinachokufaa.
  2. 02Fungua kiungo cha kununua na hakiki bei pamoja na maelezo yake.
  3. 03Fuata maelekezo ya malipo na upakuaji kwenye duka hilo.

Bado unachagua?

Soma sura ya kwanza ya Nguvu ya Mwanamke, au zungumza na mshauri wa vitabu.

Vitabu ni vya elimu; si mbadala wa ushauri wa kitaalamu. Usalama wako unatangulia.